" });

Culture

Soundslides

Events

galery

Africa

Photojournalism

Asia

Featured

Recent Post

Follow

Featured

Games

Subscribe

Ads

Popular

Most Popular
Videos

Desktop

Chat

Bookmarks

User

Mail

Videos

Contact

Mobile

Archive

Racing

Cute

Travel

Kota

Portfolio

Feature

Shamsa aliripoti Polisi baada ya kutishiwa maisha na mchumba wake

Muigizaji wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kusema kwamba tangu aachane na Ex boyfriend wake Dickson Matoke aliwahi kuwatishia kuwauwa yeye na mwanae zaidi ya mara 10.
Akizungumza na millardayo.com alisema…’Ni kweli wakati nilipokuwa katika mahusiano naye alikuwa ni mtu ambaye anapenda sana kuniambia neno nitakuuwa mimi na mwanangu ndio maana nilikuwa naogopa sana kwasababu nilihisi kuwa anaweza kufanya lolote kunikomoa na nilienda hadi polisi kuchukua RB yake ili kama lolote litakalotokea basi yeye atakuwa amehusika, yaani yule alikuwa ananiambia kabia yuko serious mbaya kuwa ataniuwa mimi na mtoto wangu lisha kwangu alikuwa anawaambia hata marafiki zangu ni mashahidi na mbaya zaidi alikuwa anasema hayo maneno na mbaya zaidi alikuwa anawaambia hata ndugu zake.
.
Shamsa Ford akiwa na Ex Boyfriend wake Dickson Matoke Enzi hizo wa uhusiano wao.
Hayo maneno alikuwa anayaongea wakati bado niko naye kwenye uhusiano lakini ndio hivyo malumbano malumbano na mimi nilikuwa nimeshachoka na hizo tabia zake lakini baada ya kuachana naye ni vitisho labda anataka kumuona mtoto anatumia vitisho mara sasa ninapomnyima mtoto basi anatumia vitisho basi mimi nikikumbuka lile neon lake la kusema ataniuwa basi moyoni sina amani….’alisema.
Unaweza ukabonyeza play kusikiliza alichokizungumza Shamsa

Jiunge na Starstz.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose

Muziki wa Tanzania umepenya vipi wakati tunawakilishwa na msanii mmoja tu? – Dudu Baya

Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot kwenye Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.
“S/O to my bro Jchameleone kwa kuonesha support pale inshallah atakapochukua mama form ya kugombea Ubunge Viti maalum.. Tutakuwa nae kwenye campaign mwanzo mwisho.. Thank u so much bro.. Lets support Wema Sepetu,” aliandika Petit kwenye picha hiyo chini:
11357985_824882520940285_2003763970_n 

Dudu Baya anapingana na kauli kuwa muziki wa Tanzania umepenya Afrika.

Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo amesema muziki wa Tanzania haujapenya kwakuwa anayeiwakilisha Tanzania ni mmoja tu – Diamond.
Amesema ili muziki wa Tanzania uweze kusemwa umepenya kimataifa ni lazima kuwepo na wasanii wengi wanaofanya vizuri kama ukubwa wa Diamond kwa sasa.
Amedai kuwa muziki wa Nigeria ndio uliopenya zaidi kwakuwa kuna wasanii wengi wanaofanya vizuri na wenye ukubwa sawa tofauti na Tanzania.
Rapper huyo amezitaja chuki, wivu na kubaniana ndio sababu kubwa za muziki wa Tanzania kushindwa kupenya.

Msanii Kcee kutoka Nigeria ameachia video mpya ya wimbo “Love Boat” aliomshirikisha Diamond Platnumz kutoka Tanzania

Picha: Mkasi TV wafungua salon mpya ya kipindi, ni noma!

Msimu mpya wa kipindi cha Mkasi utaonekana kwenye salon mpya kabisa.

Hii ni salon mpya iliyojengwa kwaajili ya kurekodia kipindi cha Mkasi
Tofauti na salon ya mwanzo iliyotumika kwenye misimu miwili iliyopita, hii inamilikiwa na wao wenyewe.

11335170_498187393679291_63363854_n
Shilole ni miongoni mwa mastaa waliohojiwa kwenye salon hiyo mpya ya Mkasi

11351011_673248926153367_1042646370_n
Msimu mpya wa kipindi cha Mkasi utaanza hivi karibuni.
11358948_866686490112110_828200179_n
11373589_1646221882262909_129068955_n

Jiunge na Starstz.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose

Diamond amevunja record kashika No.1 kwenye Top 10 ya Afrika (pichaz)

.
.
Kwenye Top 10 ya muziki mkali wa Afrika ambayo hufanyika kila Alhamisi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina mamilioni ya Watazamaji Afrika (TRACE TV Urban) July 2, 2015 single ya ‘Nana’ Diamond ft Mr Flavour imeshika nafasi ya kwanza.
.
.
Kwenye hiyo chati wiki hii number mbili imeshikwa na single ya Bobo ya Alamide, ya tatu ‘Fans Mi ya Davido ft Meek Mill na ya nne ni The Bagger ya Runtown ft Uhuru na ya tano ni Talking Over ya Yemi Alade ft Phyno.
.
.
Mpaka sasa ‘Nana’ kupitia mtandao wa Youtube kwenye channel ya Diamond Platnumz video hiyo imetazamwa kwa zaidi ya mara milioni 2 ambapo mpaka saa sita usiku July 2, 2015 2014 ni watu 15,276 walikua wameipenda kwa kulike huku watu waliodislike ni  1847.
Hizi ni baadhi ya picha zikionesha video ya Diamond Platnumz ft Mr Flavour ‘Nana’ ikiwa imeshika No.1 kwenye Top 10 ya Afrika kupitia kituo cha kimataifa chenye huduma ya kulipia Trace TV.
.
.
.
.
.
.
.

jiila

Karibu TENA ucheki trailers na ratiba ya movies leo July 3

.
.
Terminator Genisys ni movie mpya ambayo ndani yake yumo staa Arnold Schwarzenegger, unaambiwa kama utaingia leo kwenye theater mbalimbali basi utakutana nayo mtu wa nguvu.
Kama upo Dar es Salaam Location ni hizi mtu wangu; Mlimani City– ‘Cinema Century‘, Oysterbay pamoja na Quality Center.
Terminator Genisys Movie

.

Mwanasarakasi Muislamu Farah Ann Abdul Hadi, mavazi yake yazua zogo

Mwanasarakasi Muislamu wa kike aliyeshinda nishani mbili za dhahabu katika michezo ya kunyosha viungo vya mwili amekashifiwa kwa kuvalia nguo zilizom'bana na kuonyesha viungo vyake vya mwili.
Licha ya kuibuka mshindi katika vitengo viwili, mwakilishi wa Malaysia, Farah Ann Abdul Hadi, 21, alikashifiwa na walimu na viongozi wa kidini kufuatia picha zake zilizoonyesha mapaja na makalio.

Mwalimu mmoja wa kidini nchini humo alisema kuwa wanawake hawapaswi kushiriki mashindano ya sarakasi.
Sheikh Harussani Zakaria ''kwa kweli kuonyeshwa kwa mwili wa mwanamke kama ilivyoonekana mwili wa Farah Ann haipendezi ,ni harama''kuambatana na dini ya Kiislamu.

Bi Farah Ann Abdul Hadi alishinda jumla ya nishani 6 katika mashindano hayo kusini mwa Asia
''Ikiwa ni lazima mwanamke ashiriki mashindano ya sarakasi 'sharti ajistiri uchi wake hivyo itakuwa kheri kwa wale wanaomtizama iwe ni wanaume ama wanawake alisema sheikh Zakaria.

''Ikiwa katika kandanda wanawake wanavalia suruali zinazofunika magoti yao itakuwaje wanawake waislamu wasivalie nguo kama hizo ?
Maoni yake hata hivyo yanapingwa na mwenyekiti wa shirikisho la wanawake bi Roszida Kamaruddin, ambaye anasema kuwa wanawake wasikatazwe kushiriki michezo ambayo wanatalanta.

'' Ningependa wanawake wasikatazwe kushiriki mashindano haya ya sarakasi (Gymnastics) japo ningeshauri wajali mitindo tamaduni na sheria za kiislamu'' alisema Bi Roszida.
''Nawajua wanawake wengi tu ambao wanavipaji na ni washindi ila wanazingatia sheria za mavazi kwa waislamu''.
Maelfu ya mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii walimtumia jumbe za kheri njema baada ya ufanisi wake mkubwa.

Latest Post

Select Menu